Sunday, May 27, 2018

Alfajiri ya leo nchini marekani kulikuwa na mchezo wq fainali kanda ya mashariki. Fainali iliyo wakutanisha celtic na cleverland cavaries.

Mchezo huo ulikuwa wa 7 na wa mwisho kwa kanda hiyo. Cavs kupitia nyota wake rebron james waliweza kutawazwa mabingwa wa kanda hiyo kwa kushinda vikapu 87 kwa 79.

Uku rebron james akifunga vikapu 35. Na sasa anasubiriwa mshindi wa kanda ya magharibi kati ya golden state worries na hoston rocket. Mchezo utakao pigwa alfajiri ya kesho.

0 comments:

Post a Comment