Monday, May 14, 2018

Yanga inatarajia kuingia dimbani tena siku ya jumatano kukipiga na rinho ranges ya rwanda mchecho wa pili hatua ya makundi shilikisho.

Wanaingia wakiwa na kumbukumbu ya kupokea kipigo kizito cha goli 4 bila mechi yao ya kwanza ugenini.

Ikumbukwe hata ligikuu pia wamepoteza michezo yao yote miwili mfululizo.

Kuelekea mpambano uo kiungo wa yanga juma said makapu ataukosa mchezo huo kufuatia njano mbili alizo zipata.

0 comments:

Post a Comment