Wednesday, June 6, 2018

Arsenal wamedhibitisha kumnasa kinda wa paris st German  Yacine Adli kwa makubaliano ya uero £223,000.

Kipaji cha Yacine kili ibuliwa na kukuzwa na kocha  Unai Emery. Ambaye ni kocha mpya wa arsenal.

Huo unakuwa usajili wa pili wa kocha unai Emery.

0 comments:

Post a Comment