Zimebakia takribani siku 2 kuelekea mkutano wa yanga na huku midomoni mwa watu na mashabiki ikiwa inatapika neno moja tu. "nani ataiokoa yanga kwa sasa"
Lakini wapo wanao mshinikiza mwenyeketi wa zamani yusuph manji kurejea kuikomboa klabu hiyo.
Kwa upande wa manji alipo hojiwa alisema hivi
“ Yanga ni klabu yetu sote na binafsi hii ni kama sehemu ya familia yangu. Kuiona klabu inasuasua kiasi hiki sifurahi” “ wapo waliotufikisha hapa lazima wawajibike kwa mizani ya uongozi bora ili sote tuungane kuijenga upya klabu katika misingi bora na endelevu. Misingi Endelevu ili yoyote yule mwenye mapenzi mema na klabu, weledi katika uongozi aweze kuiongoza”
“ binafsi sina pingamizi kurejea endapo watawajibika waliotuvuruga , wanachama kuridhia kuijenga Yanga mpya yenye mtazamo chanya kimaendeleo uwanjani na miundo mbinu bora katika dhana nzima ya nguvu za kiuchumi”
0 comments:
Post a Comment