Mbappe ameshangazwa na kiwango cha dembele siku ya jana dhidi ya italy na memutaja kati ya wachezaji bora vijana duniani.
Mbappe alisema anapenda muunganiko uliopo kati yake yeye na mastaa wengine kama antoine grizmann.
Anafurahishwa kucheza na watu wenye viwango bora na timu yake ina wachezaji hao.
0 comments:
Post a Comment