Ikiwa zimebaki siku 7 michuano ya kombe la dunia kuanza Mwamuzi wa kwanza mkenya kuteuliwa kuchezesha mashindano ya Kombe la dunia - Aden Marwa, ameondolewa katika nafasi hiyo.
Marwa ni mmoja ya waamuzi waliopokea rushwa ya mtego toka kwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi wa Ghana Anas Aremeyaw. Alipokea kiasi cha milioni 1.3 ($600).
0 comments:
Post a Comment