Klabu ya AC Milan imeshinda rufaa yake ya kufungiwa mwaka mmoja na UEFA kutokana na kukiuka vifungu vya sheria ya usajili.
Milan sasa wanarejea kuwa miongoni mwa timu zitakazoshiriki katika UEFA Europa League baada ya mahakama ya michezo kutoa hukumu ya kuwaondolea adhabu hiyo ya kufungiwa. (shaffihdauda)
0 comments:
Post a Comment