Kwa mujibu wa taarifa kutoka Gazzetta dello Sport, Chelsea wameingia kwenye mbio za kuwania saini ya Mattia Caldara , ambapo kocha Maurizio Sarri akichukizwa na urefu wa mazungumzo wa kumsajili Daniele Rugani.
Nia yao ya kumsajili Caldara huenda ikaharibu mpango wa Juventus wa kumrejesha klabuni Leonardo Bonucci kutoka AC Milan baada ya kuripotiwa kwamba Caldara alitakiwa kwenda Milan kuwa sehemu ya dili la kumrejesha Bonucci Turin.
0 comments:
Post a Comment