Sunday, July 29, 2018

Juventus wanaamini kiungo wa kati Paul Pogba yuko tayari kurejea kwenye klabu hiyo ya nchini Italia.

Na wako tayari kumuuza mshambuliaji Gonzalo Higuain (30),  kiungo wa kati Miralem Pjanic na walinzi Daniele Rugani (24) na Mattia Caldara (24) ili kumgharamia mchezaji huyo mwenye miaka 25. (Sunday Mirror)

0 comments:

Post a Comment