Mapema wiki hii kulikuwa na party ya kusherehekea ndoa ya Cesc Fabregas na Daniella Semaan
wachezaji wa Chelsea, Barcelona na marafiki wengine wa Fabregas walialikwa kwenye party hiyo iliyofanyika Ibiza - Spain.
Party hiyo ilihudhuriwa na wachezaji wengi pamoja na familia zao kuanzia Messi, Suarez, Puyol, Busquets, Barkley, Zappacosta, John Terry na wengine kibao ambao wote walionekana kupendeza kwa kutia suti kali.
lakini mtu aliyeondoka na kijiji ni Bwana Ng’olo Kante ambaye mavazi yake yamewatoa povu baadhi ya watu wa mambo ya Fashion. :
Thursday, July 26, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment