Beki aliyemaliza mkataba, Hassan Kessy, amewaambia mabosi wa Yanga kuwa anahitaji kitita cha milioni 50 pamoja na gari jipya ili aweze kusaini mkataba mwingine.
Awali Kessy alihitaji kitita cha milioni 70. Kessi amekuwa sehem ya kikosi mhu kinacho ipambania Yanga katika mashindano ya kimataifa.
0 comments:
Post a Comment