Sunday, July 29, 2018

Robbie music ni msanii chipukizi aliye balikiwa vipaji tofauti. Ukiachana na kuimba muziiki ni mwandaaji (producer) na mtunzi mnzuri wa nyimbo (ghost writter).

Alianza mziiki kanisani kwa kuimba na kupiga baadhi ya vyombo kama kinanda na gitaa. Ni msanii mwenye ndoto ya kuja kuliteka soko la bongo na Afrika nzima.

Akiwa bado yupo katika harakati za kupambana na kuwa mwana mziiki nyota na maarufu anafanya kazi kwa kujituma sana chini ya studio za central vision.

Bado hajapata rasmi management ya kusimamia kazi zake zifike pale anapotaka. Lakini hilo halimpi shida kabisa katika kutulia na kuandaa nyimbo nzuri.

Anatualika kuisikiliza track yake mpya inayoitwa "na wewe" aliyo mshirikisha benko imefanyika chini ya studio za central vision. Producer Akesh Wakuache.



0 comments:

Post a Comment