Olivier Giroud ameanza kufanya mazungumzo na Marseille ya kurejea nchini Ufaransa kwa mujibu wa Daily Mail.
Mfaransa huyo alijiunga na Chelsea miezi sita iliyopita lakini kocha mpya Maurizio Sarri yupo tayari kumruhusu kuondoka ili nae asuke kikosi chake anavyohitaji yeye.
0 comments:
Post a Comment