Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Italia, Klabu ya Juventus iliuza Jumla ya Jezi 850,000 Mwaka 2016 lakini ndani ya Masaa 24 tu tangu Ronaldo atambulishwe Klabuni hapo Jumla ya Jezi 520,000 za Ronaldo zimeuzwa.
Mpaka sasa takribani mashabiki milioni moja wameongezeka kuishabikia juventus toka pande zote za dunia tangu ronaldo asibitishe kutua klabuni hapo.
Hakika ronaldo anapeleka faida tu juventus hata kabla hajaanza kuitumikia uwanjani.
Ronaldo ataanza mazoezi na klabu hiyo mpya tarehe 30 mwezi huu
0 comments:
Post a Comment