Kule La Liga kuna jambo si bure , Ballon D'or zao , na tuzo za mchezaji bora wa Fainali za kombe la Dunia katika mashindano manne yaliyopita wametoka La Liga pia. .
Hakika La Liga kuna mafundi wa kutosha sana , haiwezi kuwa ajali hii kila muhula wa mashindano wanatoka kwao katika mihula minne mfululizo .
. 🏆 Zidane (2006)
🏆 Forlan (2010)
🏆 Messi (2014)
🏆 Modric (2018)
0 comments:
Post a Comment