Sunday, July 29, 2018

Mechi mbili za Yanga SC zilizosalia kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ni kama za kirafiki tu Rasmi hawawezi kutinga Robo fainali.

Jana usiku USM Alger ya Algeria imetoka sare ya 1-1 na Rayon Sports ya Rwanda, hivyo, Yanga wakishinda mechi zote mbili watafikisha alama 7 ambazo zimeshavukwa na Gormahia na USM Alger.

Kwasasa msimamo unakuwa:

USM Alger  8
Gor Mahia  8
Rayon  3
Yanga  1

Gormahia kabakisha na USM Alger na Rayon Sports

USM Alger kabakisha Yanga na Gormahia
Rayon Kabakisha Gormahia na Yanga
YANGA kabakisha USM Alger (DSM) na Rayon Sports (Rwanda).

0 comments:

Post a Comment