Anthony Joshua amepanga kushinda pambano dhidi ya Alexander Povetkin pindi wawili hao wa uzito wa juu watakapo kutana Wembley Stadium.
Muingereza huyo nyota kwa wapambanaji wenye uzito wa juu ata fikisha jumla ya michezo 21 bila kupigwa , kwa kubeba mkanda wa WBA 'super', IBF na WBO siku ya jumamosi atapo pambana na Povetkin.
Anthony Joshua amejitapa kuwa atashinda na ataongenza matumaini kwa waingereza na kuupa heshima uwanja wa wembley.
0 comments:
Post a Comment