Ubeligiji wamepanda juu kwenye viwango vya ubora wa soka wa FIFA mpaka kileleni wakifungana na mabingwa wa Dunia Ufaransa , ikimaanisha kwamba nafasi ya kwanza sasa inashikiliwa na mataifa mawili kwa mara ya kwanza katika Historia ya viwango vya FIFA , miaka 25.
Wote wawili wana Pointi (1729.25). Tanzania bado tumebaki nafasi ya 140.
0 comments:
Post a Comment