Wednesday, September 19, 2018

Kocha mkuu Chelsea  Maurizio Sarri ameongea kuwa chelsea ni timu ya tatu kwa ubora kwa sasa  Premier League, nyuma ya Manchester City na Liverpool.

Kwa sasa Chelsea wanaongoza usukani wa ligi kwa tofauti ya magoli kufunga na kufungwa , sarri ameanza vema msimu huu aki furahiya maisha ya Stamford Bridge.

Sarri bado anaamini eneo la ushbuliaji liko vizuri kuliko eneo la ulinzi.

"Ni wachezaji nane pekee wali wasili katika mafunzo ya kujianda na msimu mpya, nafikiri nikawaida kwa kipindi hiki, tuna matatizo madogo madogo katika eneo la ulinzi"

Aliongeza "Chaguo langu, timu mbili, manchester city na liverpool, ni wazuri kuliko sisi"

"tunatakiwa kuongeza juhudi stepu kwa stepu na lengo langu ni kuwa timu bora uingereza ndani ya mwaka mmoja hadi miezi 18"


0 comments:

Post a Comment