Tuesday, September 18, 2018

Polisi Kanda Maalumu ya Dar inawashikilia mtangazaji wa kituo cha runinga cha Clouds, Shaffih Dauda na MC Luvanda kwa kile kinachodaiwa kumiliki 'channel' isiyosajiliwa kwenye mtandao wa Youtube

Msimamizi wa mtandao wa Youtube wa Shaffih anayejukana kwa jina la Ben Ali maarufu 'Ben On Air' naye pia anashikiliwa na Polisi

Inadaiwa walikamatwa tangu Ijumaa ya Septemba 14 na kupelekwa Kituo cha Polisi Mabatini kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi

0 comments:

Post a Comment