Michezo yote ya Leo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya imemalizika tukishuhudia jumla ya magoli 21 katika Viwanja 8.
Huku Lionel Messi akiwa mchezaji mwenye Hat trick nyingi katika historia ya mashindano hayo kwa kuwa na jumla ya hatrick 8 baada ya kuingia kambani mara tatu dhidi ya PSV ya Uholanzi katika ushindi wa nne bila.
Pia Liverpool wenyewe wakicheza kwa mara yakwanza michezo 6 ya kiushindani pasi kupoteza tangu mwaka 1961-62.
0 comments:
Post a Comment