Monday, September 24, 2018

Rais wa klabu ya Real Madrid Florentino Perez amesema kwamba Real Madrid haitocheza mechi yoyote nchini Marekani.

La liga imekubali mkataba wa miaka 15 kucheza angalau mechi moja kwa kila klabu nchini Marekani na kampuni ya Relevant msimu huu.

“ Hatutokwenda United States . Sijui ninkwa faida ya nani kucheza kule, lakini najua sio kwa faida ya vilabu au mashabiki. Kwahiyo hatutokubali kwenda kucheza kule, tuna haki hiyo.”

0 comments:

Post a Comment