Taarifa kutoka Sky Sports zinasema kwamba Antonio Conte yupo tayari kurejea kwenye kazi ya ukocha kama Real Madrid watamuhitaji.
Conte ndio chaguo la kwanza la Rais Florentino Perez kuchukua nafasi ya Julen Lopetegui kama atafukuzwa kazi ndani ya Real Madrid .
Wawakilishi wa Perez tayari wameshaanza kuwasiliana na Conte kujua upatikanaji wake . Majira ya kiangazi Conte alikataa kuhamia Real Madrid kwasababu alitaka kupumzika kwenye soka kwa muda.
0 comments:
Post a Comment