Friday, October 5, 2018

Barcelona wanajiandaa kutoa kiasi cha Euro Milioni 65 ili kunasa saini ya beki wa Napoli ambaye pia anawindwa na Liverpool, Kalidou Koulibaly.

Mkurugenzi wa Barcelona Ariedo Braida  alikuwa katika dimba la  San Paolo  mahususi kumuangalia Koulibaly akikabiliana dhidi ya utatu wa Liverpool Mohamed Salah, Roberto Firmino na Sadio Mane.

Beki huyo wa kimataifa wa Senegal ana pasoti ya Kifaransa maana yake kwamba Barcelona hawatolazimika kumrejista kama mchezaji wa kutoka nje ya umoja wa Ulaya.

0 comments:

Post a Comment