Saturday, October 20, 2018

Mshambuliaji wa real madrid lionel Messi anakadiriwa kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu au nne kufuatia majeraha aliyo yapata kwenye mchezo dhidi ya sevilla.

Messi alikumbwa na majeraha hayo baada ya kutendewa madhambi ya kusukumwa na kuangulia mkono kupelekea luteguka kwa mfupa wa mkono.

Tarehe 28 mwezi huu mwishoni mwa juma lijalo kutakuwa na mtanange mkali utakao kutanisha miamba kutoka uhispania kati ya barcelona na Real madrid katika dimba la Camp nou nyumbani kwa barcelona.

Ki vyovyote vile messi ataukosa mtanange huu wa kukata na shoka kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2007

Messi pamoja na kuumia mapema ameweza kufunga na kutoa msaada kwa goli moja katika ushindi wa goli 4 kwa 2 dhidi ya sevila

0 comments:

Post a Comment