Barcelona watakuwa na kibarua kigumu mara baada ya kutoka mapumzikoni kupisha michezo ya kimataifa. Wata safiri mpaka dimba la Estadio Wanda Metropolitano kuwa kabili wabishi Atletico madrid.
Hii ndio itadhihirisha nani ataendelea vizuri na kukimbiza kijiti cha kusaka ubingwa.
Barca walipo mkosa messi kutokana na majeruhi waliendeleza ubabe wao vile vile , lakini aliporejea tu walikumbana na kipigo kitakatishu kutoka kwa real bets cha goli 4 kwa 3.
Kukosekana kwa messi kulipa nafasi kubwa Rafinha alie toka majeruhi kupata nafasi ya kucheza kuliko ilivyotegemewa na wengi pengine Ousmane dembele akechukua nafasi hiyo au malcom.
Diego Simeone atakuwa na wakati mgumu sana wakuzuia washambuliaji kama messi, suarez , courtinho na dembele kufunga huku kikosi chake kikiwa kinakosa uhimara wake wa hapo awali.
Valverde atakuwa katika hali ngumu kuhakikisha anawafuta machozi mashabiki walio hudhuria mchezo wao wa mwisho pale camp nou na kushuhudia kichapo kitakatifu.
0 comments:
Post a Comment