Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa ujerumani Hans Briegel anaamini saikolojia ya soka la pep Guardiola ni chanzo cha mgogoro kwa kwa timu ya Joachim Low's
Timu ya ujerumani ilitolewa mapema kwenye michuano ya kombe la dunia na hawa kuonekana kuwa na ushindani kama mwanzo.
"ni mpasuko wa Gurdiola, alitudanganya kuwa ushindi ni kumiliki 75% " alisema Briegel
"hakuwa na shida, matokeo nikitu u mhimu kuliko umiliki wa mpira. Kuwa na mpira haitoshi kushinda, mfano mzuri ni jinsi ufaransa walivyo ibuka washindi wa kombe la dunia."
Briegel ameongeza kuwa kuanguka kwa ujerumani ni kipindi cha mpito tu.
0 comments:
Post a Comment