Kocha wa manchester united bado ameonesha wazi kuwa ana mhitaji Toby Alderweireld kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ulinzi.
Jose mourinho jana alikuwamoja ya watu walio hudhuria mechi kati ya ubelgiji na iceland ulio chezeka hapo jana.
Mchezo ulio malizika kwa belgium kuibuka na ushindi wa goli 2 bila magoli yalio wekwa kimyani na Batshwayi.
Toby Alderweireld naye alikuwa sehemu ya kikosi cha ubelgiji na kuzidi kumvutia jose mourinho amsajili.
0 comments:
Post a Comment