Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Rwanda, Mashami Vicent muda huu ametangaza Kikosi cha timu hiyo ya Taifa "Amavubi" kitakachoivaa Jamhuri ya Afrika ya kati Katika Mechi ya kuwania kucheza Fainali za mataifa ya Afrika "AFCON" Mwakani nchini Cameroon, Rwanda watacheza Mchezo huo Novemba 18 mwaka huu Katika Uwanja wa "Stade De Huye".
.
- Kikosi kamili alichoita kocha Mashami Vicent kinajumuhisha nyota 27 Ambao wanaingia kambini Novemba 08, wakiwemo Washambuliaji hatari Meddie Kagere kutoka Simba SC ya Tanzania, Dany Usengimana kutoka Terasan ya Misri na Jacques Tuyisenge kutoka GOR Mahia ya Kenya, Katika viungo kuna nyota kama Niyonzima Olivier kutoka Rayon Sports, na Bizimana Djihad kutoka Waasland Beverin ya Ubelgiji na Mukunzi Yanick kutoka Rayon Sports bila kumsahau Iranzi Jean Claude kutoka APR FC.
.
- Na Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka 11 Kiungo Haruna Niyonzima ametemwa Katika Katika Kikosi hicho, Ikumbukwe Niyonzima anacheza soka la kulipwa nchini Tanzania Katika Klabu ya Simba SC.
.
- KIKOSI KAMILI NI. 🔸WASHAMBULIAJI: Medie Kagere (SC Simba, Tanzania), Tuyisenge Jacques (Gor Mahia, Kenya), Hakizimana Muhadjiri (APR FC), Usengimana Danny (Terasan, Egypt), Shema Tresor (Torhout 1992km FC, Belgium), Mico Justin (Sofapaka, Kenya), Nshimiyimana Amran (APR FC), Kalisa Rashid (SC Kiyovu) & Mushimiyimana Meddy (Police FC).
.
🔸VIUNGO... Niyonzima Olivier (Rayon Sports FC), Mukunzi Yannick (Rayon Sports FC), Bizimana Djihad (Waasland Beveren, Belgium), Buteera Andrew (APR FC), Niyonzima Ally (AS Kigali), Iranzi Jean Claude (APR FC), & Rubanguka Steve (Patromaasmeshelen, Belgium)
.
🔸MABEKI: Nirisarike Salomon (AFC Tubize, Belgium), Rwatubyaye Abdoul (Rayon Sports FC), Rugwiro Herve (APR FC), Manzi Thierry (Rayon Sports FC), Fitina Ombolenga (APR FC), Imanishimwe Emmanuel (APR FC), Rutanga Eric (APR FC) & Rugirayabo Hassan (Mukura VS).
.
🔸MAKIPA: Kimenyi Yves (APR FC), Bashunga Abouba (Rayon Sports FC) na Rwabugiri Omar (Mukura VS).
Tuesday, November 6, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment