Thursday, November 15, 2018

Kiungo mshambuliaji wa arsenal Aaron ramsey atamaliza mkataba wake majira yajayo ya kiangazi mwakani 2019.

Ameweka wazi kuwa hana mawasiliano mazuri na arsenal yakuendelea kusalia klabuni hapo. Hivyo ata kuwa mchezaji huru mwakani.

Klabu ya bayern munich na ac milan tayari zimeonesha nia ya kutaka kumsajili kiungo huyo. Uku bayern munich ikipewa nafasi kubwa ya kumnasa kiungo huyo.

0 comments:

Post a Comment