Cristian Ronaldo akumbwa na rungu la faini baada ya kushangilia kwa kushika korodani usiku wa Uefa Champions league.
Ronaldo amepigwa faini kiasi cha Euro million 20 ( £20m ). Alitenda kosa hilo alipo funga goli la tatu lilowawezesha kufuzu hatua ya Robo fainali.
Hata hivyo Ronaldo alikuwa akimgeza alicho kifanya kocha wa Atletico Madrid Diego Pablo Simeone mecho ya kwanza alipo ibuka na ushindi wa goli mbili kwa sifuri.
Adhabu hiyo itakuwa na unafu kwake kwa sababu hata ukosa mchezo wa robo fainali dhidi ya Ajax.
0 comments:
Post a Comment