Mchezaji wa zamani wa manchester united Garry Neville ametabiri kuwa Staa wa kibrazil anaye kipiga kunako klabu ya barcelona Philip Courtinho anataka kujiunga na manchester united.
Courtinho mambo yamemwendea kombo msimu huu kutokana na kutokuwa na ushawishi kwa kocha pamoja na mashabiki wa barcelona kutokana na kuwa na kiwango kisicho zoeleaka.
Ili kumpata courtinho watalazimika united kutoa kiasi cha paundi £86m au zaidi ili kuinasa saini ya staa huyo.
0 comments:
Post a Comment