Monday, March 18, 2019

Mchezaji wa southampton Ward Prowse ameitwa kwenye kikosi cha uingereza kitakacho cheza michezo ya kufuzu Euro 2020.

Huku wachezaji wa manchester city Fabian Delph na Stone jones pamoja na mchezaji wa chelsea Ruben loftus -cheek wametolewa kwenye orodha kutokana na kukumbwa na majeruhi.

0 comments:

Post a Comment