Wakala wa Tuyisenge Patrick Gakumba ameweka wazi kuwa thamani ya mchezaji wake ni dola 200,000 sawa na Tsh 460,000,000.
Tayari Yanga, simba na As vita vinaonesha nia ya dhati ya kutaka kumsajili. Simba wakimtaja ndie mrithi sahihi wa Emmanuel Okwi anaye karibia kutimkia Kaizer chief ya south Afrika.
As vita wao wakimhitaji kwa udi na uvumba kuziba pengo La Makusu aliye timkia huko uarabuni.
Huku Yanga sc walio na nafasi nzuri ya kumnasa wakihitaji huduma yake ilikurudusha makali yake ya safu ya ushambuliaji yalionekana kuwa butu msimu huu.
0 comments:
Post a Comment