Thursday, November 14, 2019

Kinda Rashid Juma yupo mbioni kutolewa kwa mkopo  mara baada ya kukosa nafasi ya kucheza kabisa ndani ya kikosi cha mabingwa watetezi simba sc. msimu hajawa mzuri kwake kutokana na kumbwa na majeruhi mwanzoni mwa msimu.


Rashid Juma amebakiza mkhataba wa mwaka Mmoja wa kuwa tumikia wekundu wa msimbazi. tayari Kmc fc wameonesha nia ya kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo kinda mwenye kasi ya ajabu.

0 comments:

Post a Comment