Thursday, November 14, 2019

Mchezaji wa yanga Andrew Vicent kupitia mwanasheria wake ameweka wazi kuipeleka yanga  TFF  mara baada kushindwa kuelewana na viongozi wa klabu kuhusiana na madai yake.

Dante anaidai yanga kiasi cha milioni 40 fedha zilizo tumika kumsajiri klabuni hapo  akitokea mtibwa sugar
. viongozi wa yanga walikuwa tayari kumlipa fedha yake hiyo kwa awamu kutokana hali ya kiuchumi ilivyo klabuni hapo jambo ambalo hakubaliani nalo kabisa anataka kulipwa hela yake yote kwa mara moja.

Dante haja ripoti kambini tangu msimu huu uanze na kuna uwezakano mkubwa  mkataba wake ukavunjwa katika dirisha hili dogo la usali linalo funguliwa kesho tare 15 / 11 / 2019.

Aidha viongozi wamethibitisha kusitisha mkataba wake kutokana na kuto kuwepo eneo la kazi kwa mda mrefu bila sababu zisizo za msingi.

0 comments:

Post a Comment