Wednesday, December 20, 2017

Maafisa ukaguzi nchini uingereza wameiagiza club ya arsenal. Kufanya usafi wa hali ya juu katika mazingira ya nao uzungukukaa uwanja na ndani ya uwanjaa wa emirates.

Agizo hilo limekuja baada ya panya kuonekana uwanjani hapo. Na hili ni tatizo lilisababishwa kukithiri kwa uchafu uwanjani humo.

Panya hao wameonekana katika pande zote nne. Aidha maofisa wame agiza tatizo hilo litafutiwe ufumbunzi mara moja kabla halijaleta madhara kwa watu.

0 comments:

Post a Comment