Atletico madrid wamesha maliza adhabu yao yakuto sajili waliyopewa na chama cha soka ulaya (UEFA ). Walifunguwa kuto sajili na walizamika kutumia wachezaji wake wale wale.
Atletico madrid waliwasajili diego costa na vitolo. Costa walimtoa chelsea na amekaa nje kwa nusu msimu sasa. Vitolo yeye wali mpeleka kwa mkopo UD las plams.
Diego costa walimsajili kwa jumla ya kitita cha €66m na vitolo €36m. Natayari wote wametambulishwa rasmi kuitumikia klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment