Liverpool wamekubali kuilipa Southampton kiasi cha £75m kwa ajili ya kumsaini mlinzi Virgil Van Dijk katika dirisha la usajili la mwezi January.
Mlinzi huyo pia anatolewa macho na pep guardiola kufuatia kumbwa na majeraha ya mara kwa mara kwa walinzi wake hasa stones na nahodha vicent company.
0 comments:
Post a Comment