Wednesday, December 27, 2017

Kocha mkuu wa chelsea antonio conte tayari amesha wahi fanya kazi na artulo vidal akiwa juventus na sasa anamhitaji kiungo huyo wa chile anaye kipiga bayern munich kwa sasa.

Conte alipofanyiwa mahijiano na waandishi wa habari baada ya mechi na brighton alikiri kumtamani mkata umeme huyo aliye msaidia kushinda mataji mbalimbali akiwa juventus.

"ni mchezaji mzuri sana , na mheshimu sana , nimekaa naye kwa miaka mingi juventus na mda wote na mhitaji" alisema conte.

0 comments:

Post a Comment