Kocha mkuu wa chelsea conte ameripotiwa akisema mkhataba wa kipa wake namba moja Thibatus Courtios unaelekea mwishoni lakini kipa Huyo Hana mpango WA kusaini mkhataba mpya.
Kipa huyo mwenye miaka 25 anaonekana kutamani kurudi hispania. Natayari madrid wanaonesha nia ya kumsajili.
Courtios alisha wahi ichezea atletico madrid la liga na aliifikisha fainali ya uefa , kama atarudi hatakuwa mgeni wa mitaa hiyo ya madrid.
0 comments:
Post a Comment