Thursday, December 28, 2017


Van dijk amekuwa beki ghari duniani mara baada ya kusajiliwa kwa jumla ya €85m. Bei hiyo imetokana na kiwango alichokionesha kwa misimu miwili iliyopita.
Kocha klopp amewaambia mashabiki wasahau gharama iliyotumika. Kutokana na watu  walishaanza kujiuliza maswali kwani beki asajiliwe kwa bei hiyo.
Alichowaomba ni watulie na waendele kuwa wavumilivu wakati anajiandaa kumpika vizuri van dijk awe katika kiwango bora.

0 comments:

Post a Comment