Sunday, December 31, 2017

Matumaini Manchester United ya kuikamata Manchester City katika mbio za ubingwa wa Premier League zimefika mwisho kufuatia kutoka sare 0-0 dhidi ya Southampton.

Jose Mourinho alishindwa kuifunga kikosi cha Mauricio Pellegrini , ambaye hajawahi shinda tangu aifunge everton mwezi wa kumi na moja na iliruhusu magoli m tano dhidi ya Tottenham siku ya Boxing day.

Kufuatia ujinga wao wenyewe manchester united wanakuwa nafasi ya tatu nyuma alama moja dhidi ya chelsea na tofauti ya point 14 ambao wanaweza ongeza tofauti wakiifunga crystal palace katika dimba la selhurst park.

Paul Scholes ameibuka  na kumponda mourinho pamoja pamoja na wachezaji wake ghali baada ya kutia sare.

Paul Pogba ni mchezaji ghali sana pale united pamoja na  Juan Mata, Nemanja Matic, Henrikh Mkhitaryan and romelu lukaku aliye umia dakika ya mwanzoni tuu.

Scholes amemuamshia dude pogba kwa kusema

"yupo wapi pogba tulie mwona juventus?" aliyekuwa kila sehemu ya uwanja, tackling, upambanaji wake, motisha yake kwa watu, magoli yake ya umbali wa mile 25 " maneno ya scholes

0 comments:

Post a Comment