Mkuu wa matabibu wa timu ya Taifa ya Misri ametangaza kuwa Mo Salah atashuka dimbani kuichezea Misri dhidi ya Uruguay Juni 15
katika michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi.
Lakini kwa mjibu wa tabibu mkuu wa liverpool yeye ameripoti kuwa salah atakuwa nje kwa takribani wiki 3 au 4.
Hivyo ataikosa michezo yote ya hatua ya makundi kombe la dunia russia.
0 comments:
Post a Comment