Nicholas Musonye "Mashindano ya mwaka huu yanaanza tarehe 28 Juni, 2018 na kumalizika tarehe 13 Julai 2018. Tumezingatia ratiba ya Kombe la Dunia, hivyo mechi za hizi hazitaingiliana na ratiba ya Kombe la Dunia"
Kundi A
Azam FC (Tanzania Bara)
JKU (Zanzibar)
Kator (Uganda)
Uga (Uganda).
Kundi B
Rayon (Rwanda),
Gor Mahia (Kenya),
Ports (Djiboud)
Lydia (Burundi).
Kundi C
Yanga SC (Tanzania Bara),
Simba SC (Tanzania Bara), St. George (Ethiopia)
Dakadaha (Somalia)
Viwanja vitakavyotumika kwa michuano ya CECAFA KAGAME CU mwaka huu ni Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Azam Complex Chamazi.
ZAWADI
Bingwa wa mashindano haya atapa Dola la Kimarekani 30,000, Mshindi wa pili Dola 20,000 na mshindi wa tatu atapata Dola 10,000
WADHAMINI
Mashindano haya yanadhaminiwa na Rais wa Rwanda ,PaulKagame ambaye ndiye mlezi pamoja na AzamTV kwa upande wa urushaji wa matangazo. Azam TV ndiye mrushaji rasmi michuano ya CECAFA KAGAME CUP 2018.
0 comments:
Post a Comment