Tuesday, June 5, 2018

Kama wasemavyo wahenga mcheza kwao hutunzwa ndivyo mambo yalivyo mnyookea saint cazorla ikiwa ni wika kadhaa zimepita tangu afungiwe virago na arsenal.

Santi Cazorla amethitishwa kusajiliwa na Villarreal ya nchini uhispania. Cazorla amekuwa na maisha mabaya akiwa majerehi kwa misimu mitatu mfululizo.

Ilionekana wazi akitoweka arsenak lazima astaafu soka lakini neema imemwangukia amepata timu tena ya nyumbani.

0 comments:

Post a Comment