Tuesday, June 5, 2018

Msanii davido kutoka nigeria Hit maker  wa "Assurance" amepata nafasi ya kuchaguliwa kuwa miongoni mwa Artists watakaoperfom kwenye tamasha kubwa la "Made in America.

Davido kama msanii pekee atakayewakilisha Africa kwenye Tamasha hilo kubwa la kimataifa, ataweza kushare  Stage moja na Wasanii wakubwa Duniani kama Nick Minaj Meek Mill, Fat Joe, Diplo, Miguel, Janelle Monáe, Alessia Cara, Jessie Reyez etc.

Tamasha hilo litafanyika kwenye eneo la Benjamin Franklin Parkway, Philadelphia, Septemba 1hadi 2 mwaka huu.

Wikzid, Tiwa Savage ni miongoni mwa African Acts walioperfom kwenye "Made in America" ya mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment