Sunday, June 3, 2018

Nyota wa klabu ya simba sc Shiza Ramadhani Kichuya ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Simba Sc.

Mkataba huo una  kipengele cha kinachompa uhuru wa  kuuzwa muda wowote akipata timu nje ya nchi.

Kichuya atakwea pipa leo kuungana na simba nchini kenya kwenye michuano ya sportpesa supercup.

Shiza anahusishwa na kuwaniwa na tp mazembe ya nchini congo drc.

0 comments:

Post a Comment