Sunday, June 3, 2018

Kocha wa manchester city amefungu na kusema anataka kushinda world cup au uefa champions league.

Akipo ulizwa angependa kufundisha timu gani ya taifa alijibu hivi

"muingereza anapenda kuifundisha uingereza, na mbrazil anapenda kuifundisha brazili" .

Hii inamaana kuwa yeye ni mhispania na angependa kuifundisha timu yake ya taifa uhispania.

0 comments:

Post a Comment