Saturday, June 2, 2018

Aiseeee leo ni kabumbu  Supercup huko nchini kenya  YANGA vs KK HOMEBOYZ. Kuanzia majira ya saa saba mchana kwa saa za afrika mashariki.

Chakufurahisha nikumuona mfunagaji bora mara mbili mfululizo  Hamis tambwe amerudi akiwa safi kabisa.

Tambwe ameonekana kuwa mwenye furaha mazoezini akiwa na wenzake na anaweza akaanza leo.

Tambwe amekuwa mwenyewe msimu mbovu sana msimu huu amekumbwa na maumivu ya goti takribani msimu mzima.

Wanayanga wengi waliyakumbuka magoli yake ya vichwa , kwa kuwa msimu huu yalikuwa yana hitajika mno kutokana na uchezaji wa timu.

0 comments:

Post a Comment